Monday, 2 May 2011

OBAMA AMMALIZA OSAMA

Usiku wa kuamkia leo Rais wa marekani 'Barrack Obama' ametangaza ramsi kifo cha aliyekuwa gaidi mkubwa dunian takribani ya zaidi ya miaka kumi sasa kuuwawa..Japo tukio hilo limeonesha kuwa furaha kwa wanainchi wote wanaopinga ugaidi ulimwengu mzima, lakini kwa wahasimu wa Osama wameonesha msikitiko na majonzi makubwa kufuatia tukio hilo. Hata hivyo inatabiriwa kwa kutokea kwa malipizo ya tukio hilo.
Osama Bin Laden laia wa Afighanstan aliyewahi kuhusishwa na tukio la mlipuko wa septemba 11 lililoteketeza jengo kuu la uchumi na bihashara nchini Marekani wakati wa utawala wa George Bush.
Osama alizaliwa Riyadh, Saudi Arabia march 10, 1957. Jina lake kamili ni Osama bin Mhamed bin Awadh bin Laden, baba yake alikuwa miongoni mwa wafanyabihashara maarufu. Osama alikuwakiongozi wa Jihadh cha Al-Queda.

No comments:

Post a Comment