Tuesday, 17 May 2011

kulikoni linah na amin

Kwa taarifa zilizotapakaa mjini ni kwamba wanamusiki wa kikundi cha THT "Linah na Amin" waliokuwa wapenzi kwa kipindi cha takribani miaka miwili au mmoja na nusu wameachana. Linah alifunguka live kupitia kipindi cha AMPLIFIRE kinachorushwa hewani na Mirad Ayo wa Clouds Fm kuwa ni kweli walikuwa wapenzi na wameachana kwa sababu ambazo hakuweza kuzitaja mapema mno.
 

No comments:

Post a Comment