Thursday, 14 April 2011

FINANCE VS POPULATION 2nd YEAR

Ni mechi iliyokuwa ya kukata na shoka, burudani zote zilikuwepo hasa pale walipoingia wachezaji wasio na mazoezi.
mechi hiyo ilianza mida ya saa 11 na kumalizika mida ya 12.30 ambapo timu ya Finance ilichapwa goli 1-0. Hata hivyo kuna tetesi za Timu ya Finance kukata rufaa baa ya refaree kuipendelea sana timu ya Population.

 Population team
 Refaree "IBRA"
Finance team


No comments:

Post a Comment