Wednesday, 23 March 2011

JA RULE JELA TENA

Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Hip Hop Ja rule atiwa jela kwa mara nyengine baada ya kukutwa na siraha kwenye gari yake kinyume na sheria. Rapa huyo amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela.
Mbali na hilo, Rapa huyo alikuwa na bifu kubwa na kundi zima la G.UNIT lililo chini ya Rapa 50-cent

No comments:

Post a Comment