Leo kupitia mtandao wa instagram, Fatuma al-maarufu kama Dj Fetty ameuweka hadharani mjengo unaosadikika kuwa ni wake ukiwa katika hatua za ujenzi (bado unaendelea kujengwa)...post hiyo imetuacha wengi bila ya majibu zaidi ya kuweza kuotea/kufikiri kama waweza kuwa ni mali yake kufuatia status aliyoiandikia..
# Kama ni mali yake basi big up mtu mzima Fetty kwani ni moja ya hatua kubwa sana katika maisha
# Kama ni mali yake basi big up mtu mzima Fetty kwani ni moja ya hatua kubwa sana katika maisha
Hongera cn dj FETTY
ReplyDeleteMiaka Elf 8 ...! Promo za Matangazo hazjeng Bali zinasaidia kupangisha na Kubadilisha Magar ya Bei Rahc..! Please wait...
ReplyDeleteHUO SASA UBISHI,,WE WAJUAJE MOVEMENT ZKE INGINE ZA KU-MAKE MONEY UENDA ANA MFADHILI
DeleteJe wakina shemeji? (ma-mbuzi) hayawezi kumuhonga
ReplyDeleteNajua unaweza na wanaweza..ila mapema sana kujishoo shoo na kushoo shoo while unasifa ya kutoweka mambo yako hadharan hili imekuwaje umeliweka ? Heshimu kanuni zako muda ukifika tutajua hata usipoweka hadharan wapo wanaofuatilia maisha na shughuli za watu watazirusha tuuu..kwa hili umekuwa mbio zaidi ya race
ReplyDeleteDada bigup za kutosha nimeupenda jinx ulivyodizain ndan. Hongera l got u.
ReplyDeleteUmetisha sana Dj mdomdo tu utamaliza mjengo wako
ReplyDeleteSio kila kinachoonekana ni kweli
ReplyDelete